Na Issa RamadhaniWAKATI mjadala wa hali aya uchumi ukiendelea kuwa minong'ono kwa wananchi huku wakilalamikia fedha kutoweka mifukoni, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , amesema Serikali inatumia Sh900 bilioni kati ya Sh1.33 trilioni inazokusanya kila mwezi, kulipa madeni.
Mama Masamia alisema hayo wakati akifungua mkutano wa waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini mjini hapa jana.
Kauli yake imekuja wakati kukiwa na mjadala kuhusu uchumi, baadhi ya watu kusema hali inazidi kuwa mbaya wakati taasisi za Serikali zikitoa takwimu zinazoonyesha kuwa uchumi uko imara.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment