Na Yusuph Mwamba
KLABU ya Soka ya Barcelona inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa klabu ya soka ya Bayern Munich na AC Milan kwa ajili ya kumsajili beki wa Kimataifa wa Colombia, Yerry Mina,
Barca, ipo katika nafasi nzuri ya kupata huduma ya mina baada ya wakala wake ,Jair Mina, baada ya kubaini kuwa Mabingwa hao wa LaLiga kufikia makubaliano ya awali na mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 22.
Hata hivyo, Bayern Munich na Milan, ambao wote wawili walimtuma maskauti kuangalia uwezekano wa kuweza kuinasa saini hiyo huku wakifuatilia kwa karibu kunako klabu yake ya sasa ya mwanandinga huyo ili kuuliza kuhusu hali yake kimkataba na kuuliza kuhusu kusaini kwake.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment