Halloween party ideas 2015
Image

Na Yusuph Mwamba

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Ufaransa na klabu ya soka ya Juventus, Poul Pogba,amefunguka huku akimmwagia sifa kede kede mshambuliaji wa Kimaifa wa Sweden Ibrahim Movic kama kaka yake ambaye amekua ni msaada tosha wa kufikisha malengo yake.


Zlatan, amekuwa moja ya kivutio kikubwa tangia atue kunako klabu hiyo ya Mashetani Wekundu wa London, akitokea kunako klabu ya soka ya Paris Saint Germain.


 Ibrahim Movic, mwenye umri wa miaka 35, mpaka sasa amefanikiwa kufumania nyavu mara 6, huku akijiandaa na safari ya kuwakabili Majogoo wa Jiji la London, Liverpool.


Mchezo huo unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi usiku wa leo mishale ya saa 4:45 usiku

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia,  bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline


Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.