NA Issa
Ramadhani
TAFITI
mbalimbali zimebaini, kuwa
yapo maradhi makubwa katika matumzi
ya kafeini inayopatikana katika kahawa ,tumbaku na chai.
Madhara hayo
ni pamoja na kusababisha ugonjwa wa
shambulio la moyo,ugumba,saratani, uvimbe kwenywe kizazi na ugonjwa wa kisukari.
Utafiti
uliofanywa katika kituo cha
afya cha mayo,kilichopo Arizona nchini marekani,ukiongozwa na DK .Mos,ulibaini kuwa
zaidi ya watu wazima asilimia 70,waliofika katika
kituo hicho cha afya,ambao walikuwa na ugonjwa wa shambulio la damu,uliotokana
na matumizi ya kahawa na tumbaku.
Aidha ,DK.
Mos, ameeleza kuwa kafeini hufanya
homoni mwili kushindwa kufanya kazi hasa, homonni ya Estrogen na Progesterone
na kupelekea kutokea kwa uvimbe katika kizazi,Kwani kafeini, husababisha saratani
za aina mbalilmbali,hasa saratani
ya koo na mapafu.
Pia DK.
Snyderman ,akamalizia kwa kusema asilimia 21 ya wanawake wenye mimba walio tumia bidhaa zenye kafeini hupoteza
watoto wao baada ya kuazaa.
Athari za
kafeini, huchangia vifo vya watoto hao kabla ya hata ya kufikia umri wa miaka
mitano.
Tafiti
kutoka huo kikuuu cha Nevada Nchini Marekani, ilieleza kuwa asilimia 27% ya
wanawake walio na matumizi ya kafeini katika mili yao walikosa uwezo wa kupata
ujauzito (ugumba).
Pia katika
utafiti uliofanyika katika Chuo kikuu cha Alabama, asilimia 70 ya wanawake
ambao wanatumia bidhaa zenye kafeini katika maisha yao walikuwa na udhaifu wa
kushika mimba(ugumba).
Ripoti ya
utafiti kutoka American Diabetic Association ilibainisha kuwa , miongoni mwa
watu walio katika hatari kubwa ya kuwahi kufa
ni watu wanaotumia kafeini kwa wingi.
Ripoti
ilieleza kuwa,kafeini mara nyingi
huchochea makali ya ugonjwa wa kisukari
kwa wenye ugonjwa huo wa kisukari. Kwa
wale wasio na kisukari,kafeini inaweza kupelekea kusababisha ugonjwa huo, kwani
huenda kuharibu seli za kongosho (Beta cell) ambazo ndizo zinazohusika na kutoa
homoni ya insulin ambayo ndiyo inayohusika katika utendaji kazi wa kusawazisha
kiwango cha sukari mwilini.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia website
Tweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment