Washika
bunduki wa landani wanataka kumsainisha Granit Xhaka baada ya kuambiwa walipe
dau la euro million 33
Meneja
huyo wa kifaransa ni mshabiki mkubwa sana wa kiungo huyo wa uswis ambae anajua
kukaba
Wenger yupo
tayari kulipa euro 19 millioni ili kumnasa kiungo huyo
Post a Comment