Halloween party ideas 2015
Image

Na Yusuph Mwamba 
MWANZILISHI  wa mtandao maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wa Jamii Forums Maxence Melo anashikiliwa na polisi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Jamii Forums Melo anashikiliwa kwa kukataa kutoa taarifa za watumiaji wa mtandao huo.

Anatarijiwa kufikishwa mahakamani Jumatano asubuhi.
Mwandishi wetu Sammy Awami alizingumza na mwanzilishi mwenza wa Jamii Forums Mike Mushi na alianza kwa kuelezea mwanzo wa kesi hiyo.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia,  bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline

Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.