jamie vardy amechukua tuzo ya mcheji bora wa msimu wa BPL
Mchezaji uyo wa fox amechukua tuzo iyo baada ya kuwazidi wachezaji wenzake kama Rihad Mahrez,Ng'olo Nante,heny kane,Ozil,na wengine
Ja
mie vardy amefunga mago 24 kwa msimu huu akitoa pasi 7 za magoli pia ameshida mechi 11 mfululizo akivunja rekodi ya rud van nestoroy kipindi anachezea manchester united
Post a Comment