Mcezaji
huyo wa Ispain anaweza kuuzwa msimu uyao kama kocha wa chelse Antonio conte
atafanikiwa kumsajili Higuain kutoka Napoli ambae amefunga magoli 33 msimu
mmoja Conte amesema halidhishwi na tabia za Diego Costa pia lawama za mashabiki
kwa msimu huu walizomtupia diego msimu
huu
Costa
amefunga magoli 12 msimu huu tofauti na msimu uliopita aliweza kuipa ubingwa Chelsea
Post a Comment