Manchester
united wamethibitish kumsainisha kiungo mchezeshaji wa Sporting Lisbon Joao Mario
Timu ya
Manchester utd wapo kwenye atua za mwisho kumalizana na mchezaji wa Sportong Lisbon Joao Mario
Mchezaji
huyo ambae amecheza mechi 37 na kufunga magili 7 anweza kusain mkataba wa muda
mrefu ambao atalipwa £140,000 kwa wiki
Japokuwa boss wa sporting hakutaka kumuuza kiungo huyo
lakini atashindwa kumzuia kutokana na timu zenye pesa kumuhitaji
Post a Comment