SERIKALI YAFUNGIA FB NA TWITTER BAADA YA MITIHANI YA TAIFA KUVUJA
Na Yusuph Mwamba
SERIKALI ya Algeria imeamua kufanya zoezi la kusimamisha baadhi ya mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook na Twitter baada ya kugundua na kuthibitisha wizi wa mitihani ya Kitaifa Nchini humo na kusambazwa kwa zaidi ya wanafunzi wapatao laki 550,000, kupitia mitandao ya Facebook na Twtte kabla ya kufanyika kwa mitihani hiyo.
Taarifa zilizotufikia ni kwamba baada vya Serikali ya Algeria kubaini udanganyifu na wizi huo wa Mitihani unaofanya na Twitter na Facebook, iliamua kuifungia mitandao hiyo mpaka watakapo maliza mitihani hiyo, na zoezi la kufungia mitandao hiyo lilifanyika juni 18, 2016 usiku.
Post a Comment