WAKATI pazia la ligii kuu la vodacom likiwa limehitishwa, tumeshuhudia vigogog wa soka wa Tanzania wakisajili kwa mbwembwe huku wakitambiana kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom inayotarajiwa kutimua vumbi hivi karibuni.
Moja ya maandalizi yaliyofanywa na timu ngeni ni pamoja na klabu ya soka ya Lipuli FC yenye maskani yake Mkoani Iringa imeonekana na kujidhatiti katika kupambana na mikiki miki ya ligi hiyo baada ya kuanika silaha zake hadharani.

Post a Comment