WINGA wa Kimataifa wa Wales na anayekipiga kunako klabu ya soka ya Real Madrid, Gareth Bale, ataukosa mchezo wa vita baridi kati ya miamba nguli ya soka ya Hispainia Barcelona dhidi ya klabu ya soka ya Real Madrid.

Bale, ambaye alifanikiwa kung'ara katika fainali ya michuano ya Euro 2016, ni miongoni mwa wachezaji ambao mwaka huu ameonekana kuwa na msaada mkubwa kwa timu yake ya klabu, atakuwa nje kwa muda wa miezi 4, kutokana na maunivu ya enka yanayo mkabili.


Mchezo wa FC Barcelona vs Real Madrid kwa sasa inaaminika kuwa ndio mchezo mkubwa zaidi katika soka ambapo wachezaji bora duniani huumana dimbani kwa dakika 90, mchezo huo unatarajiwa kupigwa wiki ijayo.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment