Na Issa Ramadhani
MUINGEREZA Andy Murray amemshinda
Novak Djokovic na kufanikiwa kunyakua tuzo ya kwanza ya fainali za Dunia
za ATP 2016 akiwa kama mchezaji namba moja duniani.
"Nina furaha kubwa sana kuwa mshindi, na kuwa namba moja duniani ni kitu cha kipekee sana". Alisema Murray.
Akiongeza kuwa ni nafasi ya kipekee sana kushindana na Novak katika mashindano kama haya.
Murray, mwenye umri wa miaka 29, amekuwa mchezaji bora katika mashindano 24.
Mashindano hayo pia yalimalizika kwa ushindi wa miaka minne wa Djokovic katika kinyan'ganyiro na Msebia huyo huku akimkaribia Roger Federer's.
Murray aliyeshinda vikombe 34 kwa mara kumi ameongeza " kabla ya hapa tumekuwa tukichuana katika fainali mbalimbali na katika Olimpiki lakini ninayo furaha kubwa kuwa mshindi.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment