Rafa Benitezi amesema hatomuuza mchezaji yeyote katika clabu yake hiyo ya Newcastle hata kama tumeshuka daraja na kuja champion ligi
Benitezi amepewa mkataba mrefu kuendelea kuifundisha timu hiyo ili iweze kurudi ligi kuu
Amesema nitakuwa na mipango Kama Boby Robson kutomuuza mchezaji yeyote na ameongeza kuwa atairudisha timu ligi kuu kwa jitihada zote
Mhisipania huyo amesaiani mkataba wa miaka mitatu ambao utamfanya alipwe £100,000 kwa wiki na kuwa kocha namba moja kwa champion kulipwa pesa nyingi
Post a Comment