Kutokana na maneno ya wakala wa Jose Morurinho Jorge Mendezi mreno huyo anafanya mazungumzo na PSG kuna uwezekano mkubwa mourho akaenda Ufaransa kama Manchester united watachelewa kutoa maamuzi na hii itakuwa hatari kwao na watajuta milele
Kuondoka kwa Laurent Blanck PSG kunampa nafasi Mournho kuchukua nafasi kutokana kiasi kikubwa cha fedha alichowekewa na PSG
Post a Comment