Klabu ya Arsenal ipo katika hatua ya mwisho kumsajili Granit xhaka wa Borrusia Monchengladbach baada ya kufanya makubaliano binafsi kati ya mchezaji na arsenal
xhaka mwenye umri wa miaka 23 pia alikuwa anawindwa na kocha wa manchestercity Pep Gurdiola
Post a Comment