
Marcus Rashford anapaswa kuwa na wasiwasi kama Jose Mourinho
atachukua kazi ya kuinoa Manchester utd kwa sababu Van gaal ni kocha ambae
anaweza kwenda ana kwa ana namchezaji kama Pep Gurdiola wa Manchester city
Mchambuzi wa Sky Sport amesema kuwasili kwa Mourinho
kutawapa wasiwasi wachezaji vijana kama Rashford na wengine ambao wamejitokeza
msimu huu
Post a Comment