Antony martial ameshida tuzo iyo ya kuwa mwanasoka mdogo
kwa kupigiwa kura kutumia mtandao wa kijamii wa facebook kwa kupata asilimia 80
na kuwazidi wengine kwa asilimia 20 akiwazid Ross Barkley na dele Ali ,raheem Sterling,hector Bellerin naEric Dier
Martial amesema asanteni mashabiki wangu wa facebookwote kwa kunipigia
kura
Post a Comment