Kocha wa Manchester utd Lous Van Gal amesema atafanya
mabadiliko makubwa sana kuelekea mchezo wa leo dhi ya west ham baada ya
kuwaacha wachezji wake katika mechi iliyopita dhidi ya Norwich
Man utd wanaweza kuwa salama kuingia top 4 kama watashinda
michezo miwili iliobaki baada ya Manchester city kutoa suluhu ya 2-2 dhidi ya
arsenal
Blind na Rashford waliachwa nyumban dhid ya Norwich kwenye
ushondi wa 1-0
Wakati huo Michael
carick,lingard na Marcos Rojo wanawaza kweenda kama kocha ataamua
Post a Comment