New York ,Marekani.
MSANII na mtunzi wa
nyimbo kutoka Marekani, Beyonce Knowles, yupo mbioni kumiliki moja ya vilabu
vikubwa vya Mpira wa Kikapu nchini Marekani ambapo anaipigia mahesabu ya
kuinunua timu ya Houston.
Beyonce
na mumewe ambaye ni msanii nguli wa Marekani, Jay Z, wanaonekana sio wageni
katika biashara hiyo ya kuendesha timu ya NBA, kwa kuwa awali Jay Z alishawahi
kuwa na hisa yake ndogo katika timu ya Brookly Nets mwaka 2003 hadi 2004,
alikuja kuachana nayo bada ya kuibuka mgogoro wa kimaslahi baada ya kuunda Roc
Nation Sports.
Hadi
sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusiana na ununuzi wa timu hiyo
inayoshiriki ligi ya NBA.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment