MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Brazil na klabu ya soka ya Barcelona, Neymar JR, huenda akaukosa mchezo kati ya Real Madri dhidi ya klabu yake baada ya majeruhi aliyoyapata katika goti.
Neymar, ambaye alifanikiwa kumaliza msimu wa mwaka jana akiwa na machango mkubwa sana kwa klabu yake, kitu ambacho mwaka huu pia ameonesha makali yake huenda pia mchezo ujao dhidi ya Real Sociedad akaukosa japo hakuna uhakika sana.
Katika jumla ya michezo mitano waliocheza klabu ya Real Sociedad, ilifanikiwa kushinda jumla ya mkichezo minne na kupoteza mchezo mmoja jamboa ambalo linapelekea mchezo huo kuwa mgumu katika dimba la Anaeta, ardhi ambayo Barcelona haijashinda tangu mwaka 2007.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment