Na Mwandishi wetu, Dar
MAONESHO ya Siku kuu ya Saccos Duniani hufanyika kila mwaka mwezi alhamisi ya tatu kuelekea mwezi wa kumi, huu ni mwaka wa 7 kuadhimisha kitaifa na ni mara 6 kufanyika katika Jiji la Dar es salaam, Mnazi mmoja, maadhimisho haya yalitengwa ikiwa na malengo makuu mawili ambayo miongoni mwa malengo hayo ni pamoja na kuwakumbuka na kuwaenzi waasisi wa ushirika huu kwa mchango wao wa kueneza dhana ya Ushirika wa Akiba na Mikopo Duniani pamoja na kuthamini mchango mkubwa wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo katika kukuza na kuimarisha uchumi wa nchi mbalimbali.MoCU inalenga kuwa Tanzania kimaendeleo zaidi University nchini na kimataifa;kutambuliwa kwa umuhimu, uvumbuzi na mwitikio wa mafundisho yake na kujifunza,utafiti, ushirikiano na shughuli za kimataifa. Vile vile, Chuo Kikuu ni nia ya kukuza usawa, kupata, fursa sawa, kurekebisha, mabadiliko na utofauti, kama vile ushiriki na kujengakatika maendeleo ya jamii na huduma.
Katika maonesho hayo, licha ya kuwepo kwa malengo hayo lakini yalijumuisha vikundi na taasisi mbalimbali zilizomo katika vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa (SACCOS) Miongoni mwa taasisi hizo ni pamoja na Chuo kikuu cha Ushirika Moshi ( MoCU).
Chuo kikuu cha Ushirika , Moshi Co-operative University (MoCU), ni taasisi yenye historia ya kipekee na taalamu ya hali ya juu. Ni chuo kikuu katika kilichopo katika Jangwa la Sahara kanda hiyo inatoa ushirika na biashara ya elimu zote mbili katika ngazi ya shahada ya kwanza na ya uzamili.
Rais wa chuo hicho ni aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania wa zamani tangia alipochaguliwa mwaka 1994-2005 , Pius Msekwa(1934) huku Makamu wake wa chuo hicho ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chuo hicho Prof. Faustine K. Bee.
Chuo hiki ni kikongwe katika utoaji wa mafunzo kwa ubora na ueledi wa hali ya juu katika miongoni mwa taasisi zilizopo hapa nchini Tanzania, pia kimejikusanyia sifa kedekede katika kujipatia na kukusanya uzoefu wa miaka 43, katika nyanja za ushirika uhasibu, usimamizi wa ushirika na maendeleo vijijini.
MoCU inalenga kuwa Tanzania kimaendeleo zaidi University nchini na kimataifa;kutambuliwa kwa umuhimu, uvumbuzi na mwitikio wa mafundisho yake na kujifunza,utafiti, ushirikiano na shughuli za kimataifa. Vile vile, Chuo Kikuu ni nia ya kukuza usawa, kupata, fursa sawa, kurekebisha, mabadiliko na utofauti, kama vile ushiriki na kujengakatika maendeleo ya jamii na huduma.
Katika kipindi hiki, Chuo Kikuu cha MoCu kimekuwa nauzalishaji na wataalamu mbali mbali waliobobea
katika ushirika maendeleo, uhasibu, usimamizi, masoko, ukaguzi ambapo wahitimu wao wamefanikiwa kuajiriwa katika taasisi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.
Mpaka sasa, chuo kikuu hicho pamoja na uanzilishwi wake kimefanikiwa kusaili zaidi yawanafunzi 4,000 kutoka jumla ya kutoka wanafunzi 150 wakati wa uanzilishwaji wao wakati ikitambulika kama Co-operative College.
Kwa mujibu wa Chuo hicho, wajibu mkuu wa Chuo Kikuu ni kutoa huduma bora pamoja na elimu inayoendana na wanafunzi wao , ili kuendeleza akili zao na kuwapatia maarifa sahihi na ujuzi na maandalizi yao kwa ajili ya kujifunza maisha ili wawe chanzo cha kuelimisha jamii na waweze kuwa ni miongoni mwa rasilimali ya mahitaji ya jamii.
MoCU inalenga kuwa Tanzania iwe ya kimaendeleo zaidi katika vyuo vikuu hapa nchini na hata nyanja ya kimataifa , kutambuliwa kwa umuhimu, uvumbuzi na mwitikio wa mafundisho yake na kujifunza,utafiti, ushirikiano na shughuli za kimataifa. Vile vile, Chuo Kikuu hiki kinalenga nia ya kukuza usawa, kupata, fursa sawa, kurekebisha, mabadiliko na utofauti, kama vile ushiriki na kujengakatika maendeleo ya jamii na huduma.
Bodi ya Wakurugenzi ya MoCU, ikiongozwa na Rais wa Chuo hicho, Mh : Pius Msekwa akiambatana na Makamu wake Prof: Faustine K. Bee katika hafla ya maadhimisho ya kuhitimu chuo kwa wanafunzi wake |
SEHEMU AMBAYO ELIMU YA MASAFA INAPATIKANA KWA MoCU
Katika kuhakikisha elimu na ustadi unawafikia walengwa, Chuo kikuu cha ushirika cha Moshi (MoCU) kimefanikiwa kuendesha mafunzo yake ya masafa marefu katika mikoa kadhaa hapa nchini Tanzania, Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Dodoma, Iringa, Kigoma, Kilimanjaro, Mbeya, Mtwara, Mwanza, Pwani, Ruvuma, Shinyanga, Singida, Tabora harikadharika na Mkoa wa Jiji la Tanga huku wakifanikiwa kufungua tawi lao Mkoani Shinyanga lijulikano kwa jiana la Kizumbi
Ramani ya Tanzania ikijaribu kuonesha elimu ya masafa inayotolewa na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) . |
Mwandishi wa makala hii Yusuph Mwamba +25567636650
Kwa mawasiliano zaidi kujua taarifa juu ya chuo cha (MoCU)
Deputy Vice Chancellor (Academic)( Makamu wa rais wa Chuo)
Moshi Co-operative University, Sokoine Road
P.O.BOX 474, Moshi, Tanzania
Tel: +255272754401
Fax:+255272750806
Email:Admissions@mocu.ac.tz
Website:www.mocu.ac.tz
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment