Halloween party ideas 2015
Image

Na Shariff Shaban

KIUNGO wa Kimataifa wa  Ufaransa na klabu ya Juventus, Paul Pogba, anaweza akabakia Juventus au uwezekano wa kwenda  hispania auHenrikh Mkhitaryan and striker Zlatan Ibrahimovic.kurudi england amesema wakala wake Mino Raiola

Pogba ,ambae amefanikisha nchi yake ya ufaransa kuingia fainali za Euro mwaka huu inaonekana kuwa timu yenye nguvu kumchukua ni manchester utd au real madrid ndizo anazoziangalia

Japo kuwa kitachosukumwa nazaidi ni ada ambaoyo imetangawzwa duinia nzima ambayo itavunja rekodi kiasi cha euro million 100 ($130.65) lakin tutaona kiasi gan maalum kitakacho mtoa pogba juve

Poga amabae ana mkataba na juve mpaka  mwaka  2019 lakin pia wakala wa pogba ambae ana mahusiano mazuri na man utd kwa kipindi hiki cha usaji kwa kufanya biashara ya kiungo Henrikh Mkhitaryan na mshambuliaji  Zlatan Ibrahimovic.

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia,  bila ya kuingia website

Tweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline


Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.