WATUMISHI HEWA WENGINE 209 WABAINIKA DAR
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amebaini watumishi hewa wengine 209 katika mkoa wa Dar Es Salaam ambao wameisababishia serikali ya sh bilioni 2.9 ambapo hapo awali ilibainika kuwa na watumishi hewa 17.
Kwa mujibu taarifa za wakuu mbalimbali za maofisa idara za mkoa hapo awali waligundulika watumishi hewa 17 ambao waliisababishia serikari hasara ya sh milioni 330.
Kutokana na ongezeko la watumishi hewa, Makonda aliwaapisha wakuu wa
idara za mkoa na manispaa tatu na kuwapa wiki moja kuhakiki iwapo kuna
wengine kwenye maeneo yao.
"Baada ya kuwabana maofisa hao tumepata watumishi hewa 29 ambao walilipwa sh biilioni 2.9 na kutokana na hili nimewapa wiki moja kuhakiki iwapo kuna wengine kwenye maeneo hayo"Alisema makonda .
Post a Comment