Na Yusuph Mwamba
GAMBIA imetangaza nia yake ya kuwa taifa la tatu barani Afrika kujitenga na mkataba wa Roma uliounda mahakama ya kimataifa ya jinai ICC.
Tayari Burundi na Afrika Kusini zimetangaza kujitoa kutoka kwenye mahakama hiyo.
Waziri wa mawasiliano ya taifa hilo,Sheriff Bojang, anasema mahakama hiyo inatumika kuwanyanyasa Waafrika.
Fatou Bensouda, mwendesha mshataka wa mahakama hiyo ni raia wa Gambia.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment