
Manchester utd wanaomba majirani zao man city wapoteze mchezo zidi ya swansea
Van Gal amesema kuwa nitakuwepo apa mpaka bodi itakapoamua ,sisi bado tunapigania kucheza ligi ya mabingwa na bado tunacheza fainali ya Fa na ninaona bado nafasi ipo kama manchester city itapoteza
Post a Comment