Leo tarehe 14 ya mwezi wa 5 lile shindano la shika ndinga ambalo linaendeshwa na kituo cha redio cha Efm ambalo linashindanisha wakazi wa wilaya tano tofauti ilala,temeke,kinondoni,pwani pamoja na kibaha
shindano ila lina linadhaminiwa na vodacom,star time
Mpaka sasa washiriki wa kike 15 wameachia mashindano na washiriki watano 5 ndio wameingia fainali
Post a Comment