Kocha wa manchester united Louis Van Gaal amewaambia wasaidizi wake kuwa wajiandae kukutana mwezi wa nane katika msimu mpya wa ligi
Amesema hayo baada ya kumalilizika mechi ya ja dhid ya Bournemouth ambayo walishinda 3-1
Pia mashabiki wa timu hiyo walimjia juu na kutaka uongozi ushughulikie kwa sababu wameshindwa kufuzu mashindano ya klabu bingwa ulaya
Lakini kocha huyo ameapa kwa mashabiki na kuwapa ahadi ya kuwaletea kombe la FA nyumbani ambayo fainali itachezwa jumamosi katika uwanja wa Wembley
Post a Comment