Halloween party ideas 2015
Image

Kipa wa Arsenal Peter cech ameshinda tuzo ya golden gloves baada ya kumaliza ligi bila kufungwa mechi ya mwisho dhidi ya Astoni villa 
Mechi hiyo kati ya Arsenal alishinda 4-0 kitendo hicho kilimfanya cech awazidi Degea pamoja na joh Heart ambao wameruhusu magoli katika mechi zao za mwisho
peter cech ameishinda tuzo hiyo mara tatu kwa misimu 11 akiwa Chelsea na Arsenal

Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.