Manchester united wameripoti kuwa Mourinho anaweza kukabidhiwa timu baada ya Van Gaal kuondoka japokuwa mdachi uyo ana mktaba wa mwaka mmoja lakini amewakatisha tamaa
Pia mashabiki wa timu hiyo wanaweza kugomea uwitikio wa kuja uwanjani kama ataendelea kufundisha Van gaal
Mourinho amekuwa na uhakika wa kuchukua kazi United
Post a Comment