Halloween party ideas 2015
Image



Mwanamuziki Justin Bieber ameshtakiwa kwa dola milioni 100,000 kwa madai kwamba alivunja simu.



Mwanmuziki  huyo mdogo ametuhumiwa kuivunja simu ya Robert Earl Morgan baada ya kujaribu kumchukua piocha za video Bieber wakati alipokuwa akinywa pombe kwenye  kilabu ya Cle mjini Texas mwezi uliopita.



Kulingana na mtandao wa TMZ,Justin Bieber alikasirishwa na kuchukua simu yake na kuibamiza chini na kusabisha kuvunjika kwa simu iyo.

Justin Bieber ameambiwa  alipe kiasi cha dolla 100,000.



 ameshtakiwa kulipa kiasi hicho cha fedha kwa sababu simu hiyo ilikuwa na picha ambazo haziwezi kupatikana tena,ikiwemo picha za sherehe ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa bibi yake.



Morgan pia anadai kwamba alipoteza idad kubwa ya nambari za simu

Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.