Halloween party ideas 2015
Image

Mchezaji wa argentina Rodrigo espindola ameuwawa kwa kupigwa risasi tumboni alipokuwa anajaribu kuitetea familia yake walipovamiwa nyumban kwake
mchezaji huyo mwenye miaka 26 ambaye alikuwa mlinzi wa kati wa Neuva Chicago natimu ya taifaya argentina Rodrigo alipatwa na umauti akiw
a nje ya nyumba yake baada ya kumchukua mtoto wake na kuaanza kukimbia nae ndipo majambazi walijua yeye ni mmoja watu wenye silaha na kumpiga risasi

Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.