Kocha mpya wa manchester city Pep Gurdiola amesema kuwa usajili wake wa kwanza katika kikosi hicho angependa kuanza na Alex sunches pamoja na Jack Jilshare Pep amesema anavutiwa na uchezaji wa vijana hao kutoka ganners
Pia Pep amesema mbali na hao anavutiwa na mchezaji wa totteniham beki wa kushoto Danny Roseambae ameonyesha kiwango cha hali ya juu msimu huu
Post a Comment