Mashabiki wa Manchester utd wamemjia juu kocho wa timu hiyo
Lous Van gaal baada ya kufungwa mechi ya jana dhidi ya west ham
mashabiki hao walituma jumbe mbalimbali kwenye mitandao ya
kijamii kwa kusema kuwa muda wa kumuona
umeisha
Untd jana ilianza kucheza vibaya kipindi cha kwanza na
kuruhusu kufungwa goli dakika ya kumi lilofungwa na Diafra Sakho mpaka kipindi
cha kwanza kinaisha west ham wanaongoza kwa goli moja
Kipindi cha pi mashetani wekundu walipata mabao mawili
kutoka kwa Antony Martial kabla ya Michael Antonio na Wiston Reid kusawazisha
na kuongeza kwa West Ham
Untd wanabaki kwenye nafasi yao ileile ya tano na kupoteza
ndoto ya nafasi ya nne
Post a Comment