Drake ana kila sababu ya kuwa na furaha wiki hii
Baada ya kuachia albumyake mwisho wa mwezi watu zaidi watu million
moja wamesikiliza
Hits daily double wamelipoti kuwa album iyo imeuzwa zaid ya
watu 860k pia watu waliofanya kama streaming title 220k drake ameandika kwenye
mtandao wake wa instagram “wiki moja mauzo million moja nawashukuru kwa
kusikilza”
Post a Comment