Halloween party ideas 2015
Image

     
Mchezaji wa simba hassan kesiamelalamika kitendo cha kupigwa ngumi na mchezaji mwenzake ni uonevu mkubwa tukio hilo lilitokea siku ya mechi kati ya Simba na Toto 
Africa ndani ya chumba cha kubadilishia nguo baada ya kesi kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mbaya edward christopher wa Toto Africa 

KEsi alipigwa ngumi na goli kipa wa Simba Vicent Agban pia beki uyo machachali alisema kuwa kama kitendo kile cha kupiga ningefanya mimi basi story ingekuwa kubwa lakini kwa kuwa nimefanyiwa mimi viongozi wamekaa kimya na kilichonishangaza zaidi wakati napigwa ngumi wachezaji wengine walikuwa wanashangilia swala hili liliniuma sana 

Kesi kwa sasa mefungiwa mechi tano kuichezea simba
                                            Hassan kesi

Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.