Halloween party ideas 2015
Image

Na Yusuph  Mwamba

Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara kati ya Simba SC dhidi ya Azama unatarajiwa kupigwa katika Dimba la Azam Complex Jumamosi wiki hii.



Akizungumza na kituo cha Redio Efm, afisa wa habari wa Shirikisho la Soka la Mpira wa Miguu Tanzania, Alfred Lucas amesema wameona kuwapa Azam heshima yao kwa kuwa wametmia nguvu kubwa ya uwekezaji wa uwanja wao.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa usiku.


JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia,  bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline


Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.