Gigs amesema hayo leo akihojiwa na mirror sport baada ya kutoka mapumziko Dubai
Amesema huu ni wakati wa kuondoka UTD kwa ajili ya changamoto mpya
Kinachoonekana kuwa ujio wa Mourinho haujamfurahisha mchezaji huyo mkongwe wa manchester na kuamua kuachana na klabu yake ambayo amekuwa nayo toka utotoni
Post a Comment