Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na michezo imemfungia mwanadada anaejihusisha na sanaa nchini Snura Mushi amefungiwa kujihusisha na sanaa nchini Tanzania.
Wizara pia imemfungungia wimbo wake mpya unaotamba kwa jina chura kutorushwa kwenye tv na radio yoyote.
Taarifa hiyo imetolewa mapema leo na wizara hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyaika kwenye ukumbi wake wa mikutano wizarani hapo jijini Dar Es Salaam na kuagiza kushtakiwa kwa yoyote atakaekiuka agizo hilo kwa kutumia sheria ya makosa ya mitandao.
Post a Comment