Waziri mkuu wa uwingereza ameenda mpaka kwenye sehemu ya kuuzia magari yaliyotumika na kununua gari aina ya Nissan Micra
Gari hilo lenye miaka 20 alinunua kama zawadikwa mkewe gari hilo lenye thamani ya £1,500
Bwana Harrison amesema alipokuja Wazir mkuu alitumia muda mrefu kukagua gari na kulipiga matairi na kuhakikisha kama liko sawa na akamwambia kuwa nataka kununua gari ambalo limetengenezwa na waingereza navutiwa na kazi za waingereza
Wazir mkuu alienda ijumaa kuchukua gari hiyo na kwenda kumkabidhi mkewe
Post a Comment