Halloween party ideas 2015
Image

Na Yusuph Mwamba

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha vitu vilivyoahidi kwa Said Ally (Kijana aliyetobolewa macho) Buguruni Sheli anavipata. Sasa ahadi hizo zimeanza kutolewa leo ambapo Bajaji mbili zimetolewa kutoka kwa Dkt (Syedna Mufaddal) ambae ni kiongozi wa mabohora duniani, makabidhiano hayo yamefanyika katika msikiti wa Mabohora uliyoko Upanga.

Siku ya jana WABUNIFUMEDIA  imeshuhudia uongozi wa dhehebu la Mabohra kupitia kiongozi wao Mkuu Syedna Mufaddal, wakimkabidhi bajaji mbili, Saidi Ally, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Kijana huyo ametoa shukrani kwa dhehebu hilo na uongozi wake kwa moyo wa imani halikadhalika kwa Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa kuendelea kuwa nae sambambma katika kila hatua anayopiga.




















































JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia,  bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline

Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.