Halloween party ideas 2015
Image

Na Yusuph Mwamba

NYOTA  wa muziki nchini Marekani ambae pia ni mtaalamu wa kuandika mistari Justin Bieber mwenye umri wa miaka 22 amewaangukia mashabiki wake kwa kuandika barua ndefu yenye ujumbe mzito tangu alipofuta post yake ya mwisho kwenye ukurasa wake wa Twitter akiomba radhi kwa kile kilichotokea jiji la Manchester akiwa stejini wiki iliyopita.

Mapema wiki iliyopita Justin akiwa stejini alikumbana na kelele za mashabiki zake jambo lililomkera na kuamua kutupa kipaza sauti na kuondoka stejini kwa kile alichodai walishindwa kumsikiliza kile alichokusudia kuzungumza na kusikilizwa.



“There’s going to be times where I say the wrong thing, because I’m human. But


I don’t pretend to be perfect and I hope to God that, you know, I don’t say the right thing all the time because if that was the case then I’d be a robot, and I’m just, I’m not a robot.”. There’s times when I get upset… times when I get angry, there’s times when I’m going to be frustrated. But I’m always going to be myself on this stage.” ameandika 
Bieber.

Hata hivyo mshindi huyo tuzo za Grammy amekumbana na upinzani mkali katika tour yake aliyoibatiza jina la Purpose World Tour jijini Manchester kabla ya kuamua kushuka stejini na kuchukua dakika chache kujituliza kisha kurejea stejini kwa mara nyingine na kuwaambia mashabiki zake “We’re just going to do the music. Obviously Manchester just can’t handle it, so let’s do the music”.

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia,  bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline

Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.