TANZANIA ni nchi inayo ongozwa kwa misingi ya demokrasia na katiba, nchi yoyote ili iweze kusimama lazima iwe na katiba yake na wanachi pamoja na viongozi waitambue na kuilinda
Katiba
ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
SURA YA PILI
Haki ya kufanya kazi,kupata elimu na
nyinginezo Sheria ya 1984.Na15.ibara.6
1.(1)Mamlaka ya Nchi itaweka utratibu unaofaa
kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji
ya mtu kufanya kazi, Haki ya
kupata msaada kutoka kwa jamii Haki ya kupata msaada kutoa kwa jamii wakati wa uzee,maradhi au hali ya
ulemavu
na katika hali nyingine za mtu kuwa hajiwezi .Na bila ya
kuathiri haki hizo,mamlaka ya nchi itaweka
utaratibu wa kuhakikisha kwamba kila mtu anaishi kwa jasho lake.
(2)Kila
mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu Katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake.
Itaendelea sehemu ya tatu , usikose ....
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment