MENEJA mpya wa klabu ya soka ya Celtic, Brendan Rodger, amefunguka baada ya kusema kuwa anaamini mchezaji wa Kimataifa wa Uriguay, Luis Suarez ni tishio kubwa kwa upande wake kuliko wachezaji wote duniani.

"Luis Suarez, ni mmoja wa wazuri sana duniani pia ni mchezaji kijana mwenye unyenyekevu ambae hufanya kazi bila kuchoka katika taauma yake". Alisema Rodger
"Licha ya kuwa super star,lakini nimtu wa familia ambae huwapa kila kitu kwa maisha yake kama mchezaji na familia yake"
"Awali ya yote, unampomzungumzia Luis Suarez, unamzungumzia mtu mwingine sana na ni mtu hatari sana kwa ulimwengu wa leo"
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia, bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline
Post a Comment