Halloween party ideas 2015
Image

Na Yusuph Mwamba

MNENGUAJI maarufu Nchini Marekani, Black Chyna, ameeleza kuwa anapenda zaidi kupata elimu ya utabiri wa mtoto wake ili kuweza kujua kama ujauzito wake utamuwezesha  kujifungua mtoto wa kike.


Chyna, aliyewahi kutembea na mwanamuziki Tyga, kwa sasa anajiandaa kutwa mama kwa awamu ya pili baada ya miaka mitatu iliyopita kupata mtoto wa kiume ajulikanye kwa jina la King Cairo, kwa sasa mumewe ambaye ni ndugu wa mwanamitindo Kim Kardashian, Rob Kardashian anaye tabiria kupata mtoto wa kike.

Licha ya mwonekano alio nao kwa sasa, Black Chyana, amefunguka na kuelezea mahusiano yao kwa upana huku akijinadi kuendeleza mapenzi yao kwa dhati na mumewe katika maandalizi ya mtoto wao ajaye.

Chyana, hivi karibuni alionekana katika matembezi yake katika mji wa Los Angel, Nchini Marekani, huku akitambulisha ujauzito wake aliubeba kutoka kwa Rob Kardashian katika mtandao wake wa jamii wa website.

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.wabunifumedia.blogspot.com ku-install App ya wabunifumedia,  bila ya kuingia websiteTweet@wabunifumediaonline, youtube@wabunifumediaonline TV, Fb@wabunifumediaonline, insta@wabunifumediaonline










Post a Comment

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.