Mchezaji wa manchester united amesema alikuwa analifikiria hilo kufukuzwa kwa van gaal atika club hiyo lakin kufukuzwa kwake hakutoniathiri mimi chochote
Sababu kubwa ya kusema ivyo kinda huyo wa kidachi ni kutokupangwa mara kwa mara kutokana na kuonyesha kiwango kibovu msimu huu
Depey amesema yeye anafurahia kuwepo manchester united na body inamfurahiya sijui ktu gani kitaniathiri mimi
Mchezaji huyo ambae ametoka Psv kwa kuwa mfungaji bora alisajiliwa kwa
ada ya paun million 25 na kujiunga utd msimu uliopita
Post a Comment