Daily mirror limelipoti city washamalizana na mchezaji kwa makubaliano binafsi na sasa wanatakiwa kulipa euro 21 million ili kumsjili kiungo huyo fundi wa ujerumani
Yaya Toure amesema hatoendelea kuichezea city msimu ujao na anajiandaa kuondoka na kutafuta clabu mpya
Post a Comment